Back to home

Muungano wa upinzani wasema serikali inawahonga wapigakura

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
2d ago
Wabunge wanaoegemea mrengo wa upinzani wameendeleza shutuma dhidi ya serikali, kwa madai ya kutumia hela na rasilimali za umma kuwahonga wapigakura .