Back to home
Mkewe rais azungumzia juhudi za kuwainua wanawake
video
C
Citizen TV (Youtube)November 24, 2025
3h ago
Mkewe Rais Rachel Ruto kwa miaka amekuwa mstari wa mbele kuwawezesha kina mama kupitia mfumo wa kuwekeza bila kuweka pesa benki maarufu kama Table Banking. Ni mradi ulioshika kasi kutoka vijijini na mijini hapa nchini. Kwenye mahojiano yetu ya mkewe Rais Rachel Ruto, Nilianza kwa





