Back to home

Lugari: Wanasiasa watakiwa kuondoa siasa kwenye uchuguzi wa kifo cha mwalimu mkuu aliyeuliwa kinyama

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 24, 2025
3h ago
Huku mwili wa mwalimu wa shule ya upili ya pag munyuki kutoka eneo bunge la lugari unapotarajia kuondolewa kutoka kwenye chumba cha kuhifadhi maiti kwa maziko eneo bunge la likuyani kaunti ya kakamega hapo kesho wakazi wa eneo hilo wanawataka wanasiasa kuondoa siasa kwenye uchugu