Back to home

Mahakama yasimamisha ubomozi Makongeni

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 24, 2025
4h ago
Ni afueni ya muda kwa maelfu ya wakaazi wa mtaa wa makongeni hapa Nairobi baada ya mahakama kusitisha ubomoaji unaoendeshwa na serikali. Wakaazi walioathiriwa wameiambia mahakama kuwa serikali haikufuata kanuni kwenye ubomoaji huo unaonuiwa kupisha ujenzi wa nyumba za serikali.