Back to home

PSRA yakusanya maoni kuhusu rasimu ya kanuni za usalama wa binafsi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
1w ago
Mamlaka ya Udhibiti wa Sekta ya Usalama binafsi, PSRA, imeanzisha mchakato wa ukusanyaji maoni nchini kuhusu rasimu ya kanuni za usalama binafsi za mwaka 2025.
Advertisement