Back to home

Rono: Tutahakikisha uchaguzi wa Chwele/Kabuchai utakuwa huru na wa haki

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
3h ago
Mwenyekiti wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) Katika kaunti ya Bungoma Grace Rono amewahakikishia wapiga kura eneo hilo kuwa tume hiyo iko tayari kufanikisha zoezi la upigaji kura siku ya Alhamisi.