Back to home

Wataalamu waeleza hatari ya ukinzani wa kinga ya dawa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
2h ago
Wataalamu wa afya na wadau wengine katika Kaunti ya Nandi wameandaa zoezi maalum la uhamasishaji kwa lengo la kutoa elimu kuhusu hatari inayoongezeka ya Kinga ya Dawa AMR.