Back to home

Usalama waimarishwa katika vituo vya kupigia kura huko Kasipul

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
2h ago
Naye mwanahabari wetu Gatete Njoroge anafuatilia uchaguzi mdogo wa ubunge wa Kasipul Kaunti ya Homa Bay. Gatete una yepi kuhusu maandalizi ya IEBC na usalama katika eneo hilo?