Back to home
Mbeere North: IEBC yahakikishia uchaguzi mdogo huru na wa haki
video
C
Citizen TV (Youtube)November 25, 2025
2d ago
Kwengineko, maandalizi yamekamilika kwa uchaguzi mdogo wa Mbeere north katika kaunti ya Embu, ambako tume ya iebc imetoa hakikisho kuwa uchaguzi huo utakuwa huru na wa haki. Afisa mkuu wa iebc marjan Hussein Marjan akiahidi kuwa hakutakuwa na udanganyifu wowote.





