Back to home

GOR yapokea kichapo 1-4 Kutoka APs Bomet

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
13h ago
Mabingwa mara 21 wa ligi kuu ya kenya gor mahia fc wamepokea kichapo cha mabao 4-1 dhidi ya timu APs Bomet kwenye mechi ya ligi kuu ya taifa katika uwanja wa taifa wa Nyayo Alasiri ya leo.