Back to home
Viongozi wa walemavu watoa wito wa amani kwenye uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 26, 2025
21h ago
Viongozi katika kaunti ya Wajir wanahimiza wakenya kudumisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi mdogo katika maeneo 24 hapo kesho. Akizungumza na Wanahabari mjini Wajir, Mwenyekiti wa Watu Wenye Ulemavu Kaskazini Mashariki, Hafid Maalim, amesema chaguzi ndogo hizi ni mtihani mku



