Back to home

Viongozi wataka uchunguzi uharakishwe dhidi ya kifo cha mwalimu mkuu wa shule ya upili ya Munyuki

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
2d ago
Viongozi mbalimbali wameitaka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuharakisha uchunguzi kuhusu kifo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Munyuki, Simon Shange Isiaho.