Back to home

Kaunti ya Wajir yapiga hatua katika kuboresha huduma za afya

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
1w ago
Kaunti ya Wajir imepiga hatua muhimu katika huduma za afya baada ya hospitali moja katika eneo la Tarbaj kumsaidia mama kujifungua kwa njia ya upasuaji kwa mara ya kwanza.