Back to home

Vyama vya ushirika vyamulikwa katika Kaunti ya Nandi dhidi ya ufisadi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
1w ago
Serikali ya Kaunti ya Nandi kupitia Idara ya Kilimo na mashirika imetoa onyo kali kwa maafisa wa vyama vya ushirika wanaokaidi agizo la kuwasilisha vitabu vyao vilivyokaguliwa.