Back to home
Wabajuni wamsuta Gachagua kwa madai ya naibu mwenyekiti wa IEBC kuhusika katika wizi wa kura
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 26, 2025
9h ago
Viongozi wa kidini na wale wa jamii ya wabajuni jijini Mombasa wamesema kuwa madai ya Gachagua kuwa naibu mwenyekiti wa IEBC alihusika katika njama ya kuiba kura katika chaguzi ndogo ya eneo bunge la Magarini, si kweli.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news





