Back to home

Maandalizi ya uchaguzi Magarini yakamilika, IEBC yahakikishia uchaguzi huru na wa haki

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
3h ago
Tukielekea eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi, maandalizi yamekamilika huku tume ya uchaguzi ikiwahakikishia wakaazi uchaguzi huru na wa haki hapo kesho. Kamishna wa IEBC alutalala mukhwana akitoa hakikisho kuwa kila kitu ki tayari baada ya vifaa vya kupigia kura kusafirishw