Back to home

Uchaguzi mdogo Narok

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 27, 2025
2h ago
Taharuki imetanda mjini Narok kufuatia tukio la jana usiku ambako mgombea wa Dcp Douglas Masikonde alivamiwa nyumbani kwake alipokuwa kwenye mkutano na maajenti wake. Wapigakura wameraukia shughuli ya kumchagua mwakilishi wao mpya huku watu wachache wakiendelea kutiririka vituoni