Back to home

Boyd Were wa chama cha ODM ateuliwa kuwa mbunge wa Kasipul

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
1h ago
Tukielekea eneobunge la Kasipul, matokeo ya uchaguzi mdogo yaliyotangazwa na IEBC ni kuwa Boyd Were wa chama cha ODM ndiye mbunge mteule wa eneobunge hilo. Were amezoa kura 16,819 dhidi ya mpinzani wake mgombea huru philip aroko aliyepata kura 8,476