Back to home

Mwanamke Kibera aomba msaada wa serikali kumtafuta mwanawe aliye Saudi Arabia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 30, 2025
2w ago
Mwanamke mmoja kutoka mtaa wa Kibera hapa Nairobi sasa anaitaka serikali kumsaidia kumpata mwanawe aliyesalia nchini Saudi Arabia. Penina Wanjiru alikuwa akifanya kazi nchini humo ambako alilazimika kurejeshwa nchini kwa ghafla na mwajiri wake baada ya mtafaruku. Mwanawe wa miaka
Advertisement