Back to home

Mitandao ya kijamii yachangia kuharibu ndoa nyingi Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Mitandao ya kijamii imetajwa kuchangia ndoa nyingi kuporomoka katika Kaunti ya Lamu kutokana na wanandoa kutumia muda wao mwingi kwenye mitandao huku wakisahau majukumu yao nyumbani.