Back to home

Wazazi washauriwa kukaa karibu na watoto wao msimu huu wa likizo

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Viongozi wa kanisa la AIC Kaptote DCC, katika eneobunge la bureti wameshauri wazazi wachunge watoto wao katika msimu huu wa likizo wa krismasi.