Back to home

Wakulima washauriwa kutumia mbegu bora za kilimo zilizoidhinishwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
2h ago
Wakulima kutoka eneo la Magharibi wamehimizwa kutumia mbegu zinazostahimili ukame kama mkakati wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya hali ya hewa na kuongeza uzalishaji.