Back to home

Mkuu wa utumishi wa umma awataka wafanyakazi kuzingatia maadili

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 1, 2025
1h ago
Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amewataka wafanyakazi wa serikali kuzingatia maadili wakati wote ili kuziba mianya ya ufisadi katika ofisi za umma. Kulingana naye, serikali itaendelea kutoa mafunzo ya kuboresha utoaji huduma katika idara zote za serikali.