Back to home

Waathiriwa wa wanyama pori walalamikia kucheleweshwa kwa fidia kutoka KWS

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 1, 2025
2w ago
Miezi sita baada ya wizara ya utalii na wanyamapori kuzindua mfumo mpya wa dijitali wa kushughulikia fidia kwa waathiriwa wa wanyama pori, maelfu ya waathiriwa wanaosubiri kupitia mfumo wa zamani bado wanalalamikia kucheleweshwa kwa fidia ya mamilioni ya shilingi. Subscribe and
Advertisement