Back to home
Serikali yashirikiana na muungano wa majeshi ya Kiislamu dhidi ya ugaidi
video
C
Citizen TV (Youtube)December 1, 2025
2h ago
Muungano wa majeshi ya Kiislamu dhidi ya ugaidi umenzisha programu ya mafunzo ya kukabilana na jinamizi la ugaidi nchini. Hafla ya uzinduzi wa kutoa mafunzo hayo ya siku sita kwa wanahabari, wataalamu na wasomi inafanyika hapa Jijini Nairobi.





