Back to home
CECAFA U17: Kenya na Ethiopia kupigania nafasi ya tatu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 1, 2025
1h ago
Timu ya taifa ya kandanda ya vijana chini ya miaka 17 juniuor stars, itacheza mechi yao ya mwisho ya mechi za kufuzu kwa afcon ya chipukizi jumanne kuanzia saa sita mchana watakapomenyana na wenyeji ethiopia katika mechi ya mchujo wa nafasi ya tatu.





