Back to home
Wanahabari wa Citizen TV watuzwa, Jamila na Barasa washerehekewa
video
C
Citizen TV (Youtube)December 1, 2025
1h ago
Meneja mhariri wa runinga ya citizen jamila mohamed na mwanahabari wa RMS wa kaunti ya Samburu, Bonface Barasa wamezoa tuzo za uanahabari za IGAD kwa uandishi bora wa taarifa zinazohusu jamii. Sherehe ya kutoa tuzo hizo ilifanyika jijini Addis Ababa Ethiopia.



