Back to home
Wakazi wa Ilmunkush, Kajiado Mashariki waandamana wakishutumu viongozi dhidi ya ujenzi wa barabara
video
C
Citizen TV (Youtube)December 2, 2025
1h ago
Wakazi wa eneo la Ilmunkush, Kajiado Mashariki, wameandamana wakishutumu viongozi walioko mamlakani kwa kuwasahau katika miradi ya maendeleo kama ujenzi wa barabara.





