Back to home

Rais Samia awakemea wakosoaji, asema Tanzania haijalishwi na mataifa ya nje

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
2h ago
Tuvuke mipaka tuelekee taifa jirani la Tanzania ambako Rais Samia Suluhu Hassan, amezikosoa vikali nchi za kigeni kwa kile alichokitaja kama kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania. Rais Suluhu akizituhumu nchi hizo kwa kuunga mkono madai ya upinzani kwamba uchaguzi wa Oktoba ulik