Back to home

Upinzani wakosoa matokeo ya uchaguzi Mbeere North na Malava

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 2, 2025
2h ago
Viongozi wa upinzani wameendelea kukosoa chaguzi ndogo za eneobunge la Mbeere North na Malava za alhamisi iliyopita wakisema hazikuwa huru wala za haki. Viongozi hawa wanashikilia kuwa wagombea wake kwenye chaguzi hizo ndio walishinda.