Back to home

Walimu wa JSS Elgeyo Marakwet wasema hawatarejea darasani iwapo serikali haitatimiza matakwa yao

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
1h ago
Walimu wa sekondari msingi katika kaunti ya Egeyo Marakwet wametishia kutorejea kazini au shuleni mwanzo wa muhula wa kwanza wa mwaka 2026 iwapo serikali haitatimiza matakwa yao ya kupewa uhuru wa kujisimamia pamoja na ajira ya kudumu