Back to home

Maandalizi ya mbio za Nyika za Chepsaita yakamilika

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
1h ago
Gavana wa Uasin Gishu Jonathan Bii, Daktari Andrew Toro wa wizara ya afya na mwasisi wa mbio za nyika za Chepsaita, Farouk Kibet , waliogoza hafla ya kambi ya matibabu ya bure katika shule ya msingi ya Chepkemel huko Turbo.