Back to home

Hatma ya Gavana Nyaribo iko mikononi mwa seneti

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
2h ago
Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo anasubiri kujua hatma yake baada ya siku nzima ya majibizao kati ya maseneta na mawakili wake kubaini iwapo mashtaka yaliyowasilishwa dhidi yake yalikuwa na uzito wa kumfanya atimuliwe au la. Mawakili wake waliteta kuwa idadi ya waliotajwa kuidhinis