Back to home

Hongo, vurugu na uzembe wa usalama zatawala uchaguzi ndogo

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 3, 2025
11h ago
Kundi la waangalizi wa uchaguzi elog pamoja na shirika la vocal afrika wametoa ripoti zao zinazoonyesha kuwa chaguzi ndogo zilizofanyika wiki jana zilijawa na vurugu na rushwa kwa wapiga.