Back to home
Ruto awasili Washington kwa mkataba wa amani na ushirikiano wa afya
video
C
Citizen TV (Youtube)December 3, 2025
2h ago
Rais William Ruto amewasili jijini Washington DC Marekani kwa hafla ya kutia saini mkataba wa amani kati ya nchi ya DRC na Rwanda, itakayofanyika katika ikulu ya White House.





