Back to home
Kilimo Biashara | Wakulima wadogo wazalisha maziwa zaidi kwa mbinu mpya
video
C
Citizen TV (Youtube)December 3, 2025
2h ago
Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanaoishi mijini katika Kaunti ya Kajiado, sasa wameanza kutumia mfumo wa zero grazing ili kupunguza gharama na kuongeza uzalishaji wa maziwa. Njia hii inabadilisha namna ufugaji huo unavyotekelezwa katika eneo hilo. Kwenye makala ya leo ya Kilimo Bi




