Back to home

Serikali yahimizwa kuboresha ulinzi wa waathiriwa wa dhulma za kijinsia

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 4, 2025
3h ago
Serikali inahimizwa kuboresha miundo msingi ya vituo vya polisi na mahakama ili kuimarisha kampeni ya kupambana na ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Kilifi.