Back to home

Balozi wa Marekani nchini Susan Burns asifia ziara ya Ruto Marekani

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 4, 2025
3h ago
Balozi wa Marekani nchini Kenya Susan Burns ameshikilia kwamba ziara ya Rais William Ruto nchini Marekani inalenga kuwapiga jeki vijana na wawekezaji wa humu nchini.