Back to home

Eric Wekesa aapishwa kama mwakilishi wadi wa Chwele/Kabuchai

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 4, 2025
8h ago
Eric Wekesa ameapishwa rasmi kuwa mwakilishi wadi ya Chwele/Kabuchai katika bunge la kaunti ya Bungoma, baada ya siku kadhaa za mtafaruk kufuatia madai ya njama ya kuchelewesha kwa zoezi hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told b