Back to home

Shabiki.com yatua Kakamega

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 5, 2025
2h ago
Shabiki.com imekita kambi kaunti ya Kakamega Katika Kijiji cha Bushiri, kusherehekea ushindi Wa wa shilingi nusu milioni wa mkazi wa eneo hilo Dominic Lumumba kwenye shindano la Rubani challenge katika jukwaa maarufu la shabiki.com