Back to home
Baadhi ya wawakilishi wadi walaumu seneti kwa kuwapuuza Nyamira
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
4h ago
Bunge la Kaunti ya Nyamira limekosoa vikali uamuzi wa Seneti kukosa kusikiliza hoja ya kumng’oa Gavana Amos Nyaribo mamlakani, likisema masuala ya msingi yalipuuzwa. Badala ya kuangazia madai ya ufisadi na matumizi mabaya ya mamlaka, Seneti ilijadili zaidi hoja ya awali ya mawa




