Back to home
Kongamano la maonyesho ya sukari lafanyika Kisumu
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
1h ago
Mwenyekiti wa bodi ya sukari ya Kenya, Nicholas Gumbo, ametoa wito kwa vijana kujitosa katika kilimo cha miwa, akisema kuwa ukuaji wa baadaye wa sekta ya sukari nchini sasa uko mikononi mwa vijana wanaojua teknolojia



