Back to home
Wakazi wa Chepkumia na Yala waitaka serikali kusambaza intaneti
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
1h ago
Kadri matumizi ya mtandao wa intaneti yanavyozidi kuongezeka, wakazi wa vijiji vya Chepkumia na Yala katika Kaunti ya Nandi wanaiomba serikali pamoja na wahisani kuwaletea huduma za intaneti za bure au kwa gharama nafuu.



