Back to home
Maafa barabarani Busia huku watu 4 kufariki na kadhaa kujeruhiwa
video
C
Citizen TV (Youtube)December 5, 2025
1h ago
Watu wanne wamefariki huku kadhaa wakijeruhiwa kufuatia ajali iliyotokea huko Wakhungu eneo bunge la Funyula kaunti ya Busia.



