Back to home

Gavana wa Isiolo Abdi Guyo ashusha pumzi

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 5, 2025
1d ago
Mahakama kuu imempa afueni gavana wa kaunti ya Isiolo Abdi Guyo baada ya majaji kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa ikitaka abanduliwa Ofisini. Kwenye kesi hiyo, Guyo na naibu wake John Lowasa, walitakiwa kujiuzulu kutokana na madai kwamba walihama kutoka chama cha Jubilee walic