Back to home

Mkataba wa amani watiwa saini Washington

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 5, 2025
8h ago
Taharuki imetanda katika eneo la kivu kusini, mashariki mwa jamhuri ya kidemokrasi ya Congo, saa chache baada ya mkataba wa makubaliano kutiwa saini ili kurejesha amani katika DRC. Mkataba huo uliotiwa saini na rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa DRC Felix Tshisekedi unatar