Back to home

Wakazi wa kijiji cha Kapkures, Bomet, wanakaribia kunufaika na daraj jipya

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 5, 2025
4d ago
Baada ya miaka mingi ya kusubiri, wakazi wa kijiji cha Kapkures katika Kaunti ya Bomet hatimaye wanakaribia kunufaika na daraja jipya baada ya masaibui chungu nzima. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya ne
Advertisement