Back to home

Viongozi wa Ukambani watoa wito wa umoja wa jamii

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 8, 2025
13h ago
Kauli za wito wa umoja zilisheheni katika Jukwaa la Sherehe za Mawakili wa Mashariki ya Chini, huku viongozi akiwemo Gavana wa Machakos, Wavinya Ndeti, na Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka, wakisisitiza umuhimu wa viongozi kuungana ili kukabiliana na hali ngumu ya uchumi. Gavana
Advertisement