Back to home
Gavana wa Kirinyaga azindua ujenzi wa chuo cha matibabu (KMTC)
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
7h ago
Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amezindua ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Tiba Kenya (KMTC) cha kwanza Kirinyaga, karibu na Hospitali ya Rufaa ya Kerugoya.
Advertisement




