Back to home
Wavuvi wafunzwa mbinu za kuhifadhi kasa baharini Msambweni
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
7h ago
Jumla ya makundi 10 ya wavuvi na wafanyabiashara wa baharini eneo la Msambweni katika kaunti ya Kwale wamepokea mafunzo ya kutunza kasa ambaye anaaminika kuwa kwenye hatari ya kupungua idadi yake.
Advertisement




